Selfika na JF: Snap it. Show it



Okay
Ukijitumbua chunusi inahitajika usijishike tena uso hadi unawe na sabuni kuondoa vibacteria au utumie black head remover kama hii kuzuia chunusi isiote sehemu nyingine .

Hivi vitube havifai ,ukitumia unakuwa hadi mweupe ila ukiacha kutumia uso unarudi kama fenesi . nakushauri bora uonane na dermatologist au mshauri wa ngozi ili akupatie kitu ambacho kitakusaidia kupona kabisa hivyo .
 
Huwaga siwezi kujitoa
maana unakuta kinauma uso mzima.
Huwa natolewa na sisiter wangu..
Basi nikikipona kinapotea kabisa na hakiachi alama ila baada ya muda kinaota pengine.


Kuna mafuta Fulani ya kucontrol mafuta nimeanza kuyatumia Kwa wiki kadhaa naona somehow yamesaidia vijipu kupungua kutokea
Ila ngoja wajuzi waje wanipe mbinu asilia .
 
Losheni zinazokufaa wewe ni za 🍋 lemon na usiku usilale hakikisha una nawa uso wako kwa sabuni
 

Hivyo vitakuwa vikubwa aisee pole
Nikahisi tudogo hivi tulivyovizoea .

nimezoea usoni sipaki kitu toka nipo class six nikidai mafuta yanaleta chunusi .
Ngoja waje wengine wakushauri .
 
Nina dada yangu mkubwa kuna muda huwa ananenepa had kilo90 akifika mahala anaitwa mama anachukiaaa, asa hiv anafanya diet
Teh kuna aunt yangu mmoja kuna siku mtu alikuja nyumbani kwake; hakumkuta aunt. Wakati mgeni anaondoka; akakutana na aunt njiani ndiyo kumwambia kuwa ametoka nyumbani kwake ila amemkuta mtoto wa aunt wa kiume (mjomba). Aunt alikuja kunisimulia hadi anatamani kulia " Mimi naweza kuzaa Mzee kama yule"? Mumewe ni mbegu fupi ya kibena. Nilicheka sana aisee, bado msongamano wa Shikamoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…