Vile vijipu vidogo
..panakuwa kama pana mafuta,panatengeneza kipele badaye kinakuwa kijipu ..nikikitoa kikiisha baada ya muda kinaanza sehemu nyingine.
Kwahiyo vinarotate tu.
Vile vishangazi vidark spots vilikuwaga vichache tu ila naona vinazidi.
Sipaki chochote zaidi ya mafuta yangu ya mgando Vaseline.
Baadaye nikawa natumia haya parachute..