Selfika na JF: Snap it. Show it

Send me your address
 
Halina ubishi hilo...mwisho wa mwaka huu nitaweka top 10 ya warembo hapa kwa uzi. Nakutakua na zawadi nono kwa top 3
Hakika.
Ila dada Ni mrembo haswaa[emoji7][emoji7]
Pesa cash 100k

Pia zawadi kama

Savanna/heinken/windhoek/wine/whiskey

Proudly sponsored na wanaume wote kwenye huu uzi tukiongozwa na Mshana Jr
 
Niliona nikasema daaah kama mashaka ya mdau ni kweli basi nitakaa nalo moyoni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kura zitapigwa kwa siri na wazeebaba wa huu uzi[emoji23][emoji23]
 
Hakika.
Warembo wajibebee zawadi [emoji847]
 
Aise hapo kwenye vinywaji hauwezi kutufikiria na wengine ambao hatutakuwepo kwenye hiyo top 3??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…