Hapo ukipuliza na ka opium black Alooo..ah tumoghele[emoji23][emoji23]
Kuna siku uliweka humu vifaa vya urembo ,,ilikuwa ni vya kufanyia scrub sijui.
Naomba urudie kuviweka nkamu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena kamuweka kijora chenye mtandio.Umeona sasa Mabinti Abiudi ndo wanaojenga nao familia
English figures. [emoji8][emoji8][emoji8]Yes family [emoji3590]
Scandal nilipenda wakati nanunuaha ha sasa hivi nipo addicted na Scandal yaani natamani niifiche[emoji28] maana kila nikiwa nataka kupaka perfume mkono unaelekea kwenye scandal.
lini hiyo, ngoja nione kwenye gallery kama hamna nikirudi jioni nitapiga picha
hatari sana hizo shape πππ[emoji3][emoji3] kitu roho inapenda
Safi sana pisi kama pisi moja matataaa..View attachment 2166945
[mention]9.8ms squared [/mention] nimefika
Nimevuta mama watoto tulee familia Ila kuchepuka sitaacha nitazingatia kujiepusha na magonjwa ili nizeeke nakifaidi kazi za mikono yanguhatari sana hizo shape [emoji3][emoji3][emoji3]
Hongera mwayaNdio mamy
Nimepunguza almost 8 kilos! Nilikua naelekea kupasuka aisee
ningewajibu yaani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaha za kuambiwa changanya na zakoUmeona sasa Mabinti Abiudi ndo wanaojenga nao familia
Huwa natumia zangu tuHahahaha za kuambiwa changanya na zako
Mama mchungajiHuwa natumia zangu tu
Sawa binti abiudHuwa natumia zangu tu
πππ.. Hongera sana imekaa poa vizuri sana.. na mie saburi Nuzulati anijengeee uwezo na mie nijivunie kama weweee... nitatisha sanaa.. nitakuwa tajiri maradufu sanaaaaNimevuta mama watoto tulee familia Ila kuchepuka sitaacha nitazingatia kujiepusha na magonjwa ili nizeeke nakifaidi kazi za mikono yangu
@nazulat Hana noma mzungu Sana nasubiri tu invoice ya mchango wa harusi[emoji3][emoji3][emoji3].. Hongera sana imekaa poa vizuri sana.. na mie saburi Nuzulati anijengeee uwezo na mie nijivunie kama weweee... nitatisha sanaa.. nitakuwa tajiri maradufu sanaaaa
Huyo dada Dera la kwendea kwa Mwamposa kabisa Hilo.Sawa binti abiud
Shkamoo MjepMama mchungaji
Uselfike boss wangu
Ushaanza[emoji1787][emoji1787]Huyo dada Dera la kwendea kwa Mwamposa kabisa Hilo.
Tutaongozana naye j2[emoji3059]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Tena miili mnaendana utamuazima na lile gauni lako la marinda saaaafi kabisa mwanamke shaha bna ndio tunaoaHuyo dada Dera la kwendea kwa Mwamposa kabisa Hilo.
Tutaongozana naye j2[emoji3059]