Kuna mtoto wa mtu alinifungia akanipiga stop na simu akaninyang'anya kabisaaa nikashindwa hata kuingia selfika
Yaani hadi nilihisi homa kuwamiss humu ndani

Safi sana ...na Inapendeza sana......!!! Huyo mshike usimuachie kabisa eng anaonekana mambo anayaweza!! Hadi kutusahau selfika sio mchezo!βοΈβοΈβοΈπ

woooooooow!!
Shouzzzzzzzz hilo koti nalipenda sana, sijui n kitambaa au kitenge, nambie nikatafute madukani, nishone na mie afu ntakua navalia suruali nyeusi ya kitambaa.