Mnaongea mambo ya shule
Nimemiss kukimbia smart area
Nimemiss kunawishwa uso na matron’s.. asione kauso kanameremeta utaenda kunawa umrudie unachuruzika maji
Kuvaa misoksi kama referee
Yule afande alikuwa akisema ‘ haya haya haya parediiiiii… msauti ule mpk posta watu wanaweza kusikia