Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
πππ ulisema upo misungwi eeh.. njoo hata hapa tukutane dodoma ili twende pamoja usihofu hakuna kimasiaharaNitajie mahali nakuja mwenyewe π¬
Ukifika tu nishtue; huwa napiga deiwaka humo ndaniOna sasa ππ.. kesho basi mchana ukuje utanikuta kabisa getini leo nimekuja Dar kushangaa vishundu vya wa dar es salaam
ππππ.. nakutazama tuUkifika tu nishtue; huwa napiga deiwaka humo ndani
Nami nakuangalia tuπ€π€ππππ.. nakutazama tu
Wow!!!ππΎππΎππΎInabidi nije kuomba darasa kwa aliyetengeneza πHiyo pita ni home made lizzy
Hii kimasihara mbona una itajataja mmh kwa kweli nimegaili na hivi kumetulia hivyo hapo hata nikipiga kelele hakuna Msaadaπ¬πππ ulisema upo misungwi eeh.. njoo hata hapa tukutane dodoma ili twende pamoja usihofu hakuna kimasiahara
πππ hamna hayo mambo bwanaaa.. acha hayo mawazoo.. hapa upepo safiii hamna masihara.. dhambi hivyoo.. hapa utakuwa mikono salamaaa kabisa.. hadi tumalize zile process ndio tule tunda πππHii kimasihara mbona una itajataja mmh kwa kweli nimegaili na hivi kumetulia hivyo hapo hata nikipiga kelele hakuna Msaadaπ¬
karibu sana mkuu.. unakaribishwa kwa mikono miwiliNikikaribishwa nitakaribia
Ahsantekaribu sana mkuu.. unakaribishwa kwa mikono miwili
ππkengele ya hatari imelia kwenye fuvu la kichwaπ¬hebu aje kwanza Tinsley akirudi nami nitafuataππππππ hamna hayo mambo bwanaaa.. acha hayo mawazoo.. hapa upepo safiii hamna masihara.. dhambi hivyoo.. hapa utakuwa mikono salamaaa kabisa.. hadi tumalize zile process ndio tule tunda πππView attachment 2166132
[emoji3][emoji3][emoji3] sasa hivi sisubiri wana JF ni mabingwa wa kugandisha hao.. unaweza subiri hadi Yesu akarudi ila mwana Jf asitokeeee
ππππ mje hata wote.. mie sio baharia.. mje niwafundishe na kuwindaaa mta enjoy sana.. wala hakutokuwa na threesome wala masiharaππkengele ya hatari imelia kwenye fuvu la kichwaπ¬hebu aje kwanza@Tinsely akirudi nami nitafuataπππ
[emoji3][emoji3][emoji3] ulisema upo misungwi eeh.. njoo hata hapa tukutane dodoma ili twende pamoja usihofu hakuna kimasiahara
Hii kimasihara mbona una itajataja mmh kwa kweli nimegaili na hivi kumetulia hivyo hapo hata nikipiga kelele hakuna Msaada[emoji51]
ππSentensi ya mwisho umeharibu kabisa hutokaa upate mgeni[emoji3][emoji3]
Kwa kweli best ukifika tu ni ......πππ[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] tena inawezekana yupo na mabaharia wenzake...
Jamani mie mtu wa ustawi wa jamii msiwe na hofu na mie huku ni amani teleeeSentensi ya mwisho umeharibu kabisa hutokaa upate mgeni[emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mje hata wote.. mie sio baharia.. mje niwafundishe na kuwindaaa mta enjoy sana.. wala hakutokuwa na threesome wala masihara
Haha [emoji28] ..[emoji23][emoji23]kengele ya hatari imelia kwenye fuvu la kichwa[emoji51]hebu aje kwanza Tinsley akirudi nami nitafuata[emoji23][emoji23][emoji23]