biblia ina maneno magumu makavu live,sijui enzi wanaandika haya maneno kwao yalikua malaini malaini hawajui sku hz mtu ukskia hayo majina unashtuka kbsa"Maana kwa malaya mtu hutiwa katika hali ya kuhitaji kipande cha mkate; Na kahaba humwinda mtu anase nafsi yake iliyo ya thamani"
nakuona tu.. jana umelala mbelee eeh 😀😀😁"Maana kwa malaya mtu hutiwa katika hali ya kuhitaji kipande cha mkate; Na kahaba humwinda mtu anase nafsi yake iliyo ya thamani"
[emoji120][emoji120][emoji120] asante mkuu nimekusoma kwa kiasi kikubwaUjivunie a man/woman from selfika,sishauri kabisa na recommend huu uzi kwa wanaotafuta Marafiki wale wa chitchat,not otherwise.
unasaka mpenzi mkadakana wote kwenye huu uzi,basi makesure una spea tairi (usije tuabisha kwa machozi huko mbeleni) i guess huu uzi umekaa kimasihara masihara sana,ukiuchukulia serious Shauri lako.
ingia hapa kurefresh,kuzingua,kutania, have fun ujiskiavyo After hapo log out muachie mshana uzi wake,sasa jipendekezeni mko serious sanaaaa muhamie na whatsapp mka video call kbsa..
Sema i love this ka uzi,kwasababu (as i said) people are genuine, Sema mdada akinpenda mimi ni mkweli jamani. (nina wake wa 5 na watoto 6) lets all be clear to each other Uongo Mwikooo
Ni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] karibu sanaaa.
Kamera tu mpenzi!!! Sina hata hio shepu 😜😘
Mbona mi sipati!!km kamera mweee!!hinhaaKamera tu mpenzi!!! Sina hata hio shepu [emoji12][emoji8]
🤣🤣🤣🤣🤣
Nasubiri utupie boss lediiKam kauwaaaaaaaa... [emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732] haya tupia ya Kanisani leo!![emoji8]
Ewaaa[emoji91][emoji91][emoji91]
Kashatupia ze bossNasubiri utupie boss ledii
Nishaweka baibui langu.... Nataka mtoko wako wa church leoNasubiri utupie boss ledii
Tichaaaa[emoji3590][emoji3590]
Hahaaa!tuuoneNishaweka baibui langu.... Nataka mtoko wako wa church leo
Anne mpambe tu huyo usimsikilize wii
Nimeona[emoji3059][emoji3059]Nishaweka baibui langu.... Nataka mtoko wako wa church leo
Aongeze boss wetu
Hahaa!!;[emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2]Tichaaaa[emoji3590][emoji3590]
Madam Algebra[emoji3590][emoji91]