Duuh kumbe hili mbugila ni kingoni? Kuna mwalimu wetu mmoja mchaga alikuwa anapenda kusema "ninyi ni mambugila" kama akiuliza swali halafu darasa zima mkashindwa kujibu basi nikawa nadhani ni neno la kiswahili ila linatumika sana uchagani![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] "veve wa mbugila"
Jaman mwenyeji had nimecheka khaaah.
Kwan lakini? Uwiiiiiih
😀😀😀 kila kitu wanataka tupaate taabuHutaki kwenda msalimu mdogo wangu anateseka pekeake hapo unamzungushaaaaa Kama anaomba visa ya kwenda US
Si uweke tu wifi jamani. Kesho utaweka tenaNawaona nimewamiss
Ngoja niwaletee mshono wa kesho[emoji3][emoji3]!au nitaweka kesho
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa hilo hata ukitabasamu mtu anajua tu kuwa umemtukana. Maana neno lenyewe lilivyokaa ni kama linaeleweka tu kuwa halina maana nzuri. [emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji1490][emoji1490][emoji1490][emoji1490]
Asante mwaya [emoji847] Nshaisave kwa matumizi ya baadae.
Kwa wahehe mbugila ni mtu mjinga[emoji3]Duuh kumbe hili mbugila ni kingoni? Kuna mwalimu wetu mmoja mchaga alikuwa anapenda kusema "ninyi ni mambugila" kama akiuliza swali halafu darasa zima mkashindwa kujibu basi nikawa nadhani ni neno la kiswahili ila linatumika sana uchagani!
Looking gooooood wifi ake. Tutaonana kesho after ibada aisewWifi...Heaven Sent Saint Annie DepalDepalkazi kwako ...View attachment 2165498View attachment 2165499
Sent using Jamii Forums mobile app
Tayari ila sijui imekuwaje nimeweka moja mara mbili, sorry jmnSi uweke tu wifi jamani. Kesho utaweka tena
Sawa tuuuu😭😭😭 sawa tu naenda huko kitaaa.. naweza okota chochote
Usijali wifi; tumeelewa
Mie ndio umechomoa 😀😀Looking gooooood wifi ake. Tutaonana kesho after ibada aisew
Umeniignoo, nimewasha boda yangu nimesepa🤣🤣🤣Mie ndio umechomoa 😀😀
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo maaan hata mie nimecheka mnoo, sio neno zuri kiukweliHahaa hilo hata ukitabasamu mtu anajua tu kuwa umemtukana. Maana neno lenyewe lilivyokaa ni kama linaeleweka tu kuwa halina maana nzuri. [emoji23][emoji23]
Basi naona linatumika na Makabila mengi
Mama Abiud noga sana [emoji8][emoji8][emoji4][emoji4]Wifi...Heaven Sent Saint Annie DepalDepalkazi kwako ...
najiandaa hapa kutoka..9.8ms squared ushafika maeneo ??
Yes,kesho jmn.....acha tupumzikeLooking gooooood wifi ake. Tutaonana kesho after ibada aisew
[emoji3][emoji3]katika ubora wangu wa jpilMama Abiud noga sana [emoji8][emoji8][emoji4][emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]