Selfika na JF: Snap it. Show it

Unafaa kuwa mwanasiasa!
 
Unafaa kuwa mwanasiasa!
Honestly speaking,hii kitu haijawahi na haita wahi kuja kuwa passion yangu, never. Siichukii siasa,ila nawachukia sana wanasiasa,ni watu wenye ndimi mbili,yaani jana aliwaambia hili,kesho analigeuza.

Mahali nilipoweka kibanda changu,kulikuwa na mpango wa kuweka lami zaidi ya miaka 5 nyuma mpaka leo ni danadanaa.

Aisee chief,hapo umekosea.
 
kwa kweli , bado tuna safari ndefu .
Sana my dear yaani jinsia ambayo inajisifia kuwa inatumia logic na siyo hisia nilitegemea itumie logic hata kwenye mambo madogo tu kama haya

Kwamba other things being constant kwenye tendo linalohusisha watu wawili hauwezi kusema mmoja anakosea na mwingine yuko sahihi that is not logic

Same applies to wanavyotukana single mothers na kuona single fathers wako sahihi kana kwamba single mother alizaa na kiumbe kingine na single father alizaa na kiumbe kingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…