Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] shwaini
Kaaa hapo, mwenzio mlango wa labor naujua.
Kumbe we mlango tyuuh? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mwenzio had uchungu wake, achilia kitanda,
Sio kwa gwaride lile. Afu chupa ilipasuka nikiwa sakafuni,
Na nilijifungua kawaida, ko mziki wa kupush mtoto naujua na kuweza pia.

Am mama Alvin, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…