I waz hiya hiyaaa[emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]!!!ulivojibu tuu
Hujaona?!!whea wea yyuu?
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Nalaza fuzu langu leo 🤗[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Leo hakuna mtoko classic!?
Hao nahisi ni wa baharini, huku wapo kama wote fungu bukuNawaka huku siwapati
WAle wa sokoni siwaamini kihivyo
Huko si ndio kwenyeweHao nahisi ni wa baharini, huku wapo kama wote fungu buku
Kwan dagaa mchele ndo wepi?Huko si ndio kwenyewe
Kwanz huku nikiongea kuhusu dagaa mchele wananishangaa..
Wao wanajua uono/ dagaa wa zenji/ wa nyama
Thank you ladUmetisha sana mate.
Hahaa itakua hawawajuiHuko si ndio kwenyewe
Kwanz huku nikiongea kuhusu dagaa mchele wananishangaa..
Wao wanajua uono/ dagaa wa zenji/ wa nyama
Dagaa mchele ni wa bahariniKwan dagaa mchele ndo wepi?
Si ndo hawa wa mchanga? Au?
Ndio mnaita dagaa nyama ?Hahaa itakua hawawajui
Dagaa wa zenji nawapenda, wamenona
Sikujua kama hawa wa Mwanza wanaitwa wa mchangaDagaa mchele ni wa baharini
Wanataka kufanana na wale wanaoitwa dagaa nyama.
Wa mchanga ni dagaa wa mwanza
[emoji8][emoji8]Thank you lad
Kwamba hujui uwa wanaanikwa chini 🙄Sikujua kama hawa wa Mwanza wanaitwa wa mchanga
Mwanza na kigoma ndo mchanga.Sikujua kama hawa wa Mwanza wanaitwa wa mchanga
Aaaah hapa sasa sawa mie najuaga dagaa mchele n hawa mchanga,ila dar ndo wameaamua kuita mchele.Dagaa mchele ni wa baharini
Wanataka kufanana na wale wanaoitwa dagaa nyama.
Wa mchanga ni dagaa wa mwanza
Eeh ndip dagaa nyama😂😂Ndio mnaita dagaa nyama ?
Hakuna cha dagaa nyama, dagaa ni dagaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan wa mchanga ni kichefu chefu, mie siwezi hata yaanEeh ndip dagaa nyama[emoji23][emoji23]
Bana wee wacha tujifariji, ila wanabei kidogo tofauti na wale dagaa wa kawaida