Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,761
When you see a man that is helped by GodView attachment 2164080
Wapenzi wa hizi kazi, Sina habari na Mtu Na enjoy tu hii zawadi ya Uhai Mungu aliyonipatia.
Halafu kuna mtu anapta anapga hayawe hayawe ya rose muhando huko koridoni ananirushia stimuuuu
Manini hayo? ma vakesheni?Yatawashinda
Kwa shepu kwa kweli pisi haina mpinzani. Ona mwenyewe unvyoweweseka na kujiapiza. Tena ikiongeza kilo 15 hivi halafu ikaachana na magauni na masketi ya ki-Abiudi mbona taabu? Itakubidi uwe unaiendesha ko kote inakoenda. Umejipangaje?
🤣🤣🤣Kwa shepu kwa kweli pisi haina mpinzani. Ona mwenyewe unvyoweweseka na kujiapiza. Tena ikiongeza kilo 15 hivi halafu ikaachana na magauni na masketi ya ki-Abiudi mbona taabu? Itakubidi uwe unaiendesha ko kote inakoenda. Umejipangaje?
You can’t complain when you’ve got Mary JaneKuna watu naona bangi imewakolea
Kweli Jani ni bayaYou can’t complain when you’ve got Mary Jane
Welcome to the club of herbs😎
🤣🤣🤣🤣
Watu wa kaskazini kweli mmevurugwa na bangi si mchezo!Darling....would you show some respect and call it plant, please?
Ukisema bangi heshima yake iliyojijengea kwa kitambo inapungua...
Hivi ukiipa heshima yake ukasema PLANT, utafariki?Watu wa kaskazini kweli mmevurugwa na bangi si mchezo!
God God God God I know you're not a scam..View attachment 2164080
Wapenzi wa hizi kazi, Sina habari na Mtu Na enjoy tu hii zawadi ya Uhai Mungu aliyonipatia.
Halafu kuna mtu anapta anapga hayawe hayawe ya rose muhando huko koridoni ananirushia stimuuuu
Naona ishakukoleaHivi ukiipa heshima yake ukasema PLANT, utafariki?
Ayyyyt....utanikuta ndani nakusubiria. 🙂
Never dare to date a man who’s smoking weed…This is applicable for smart smokers only.Watu wa kaskazini kweli mmevurugwa na bangi si mchezo!
Na wewe Depal bangi ya Arusha imeanza kukukolea eeh?🙆Never dare to date a man who’s smoking weed…This is applicable for smart smokers only.
They’re very very sweet and romantic
Cocastic kaniibia account jamani 🤣🚶🏻♀️🚶🏻♀️
SikudanganyiNa wewe Depal bangi ya Arusha imeanza kukukolea eeh?🙆
Naona leo umejaa upako Mtumishi. Safi sana
JizaziSikudanganyi
Hao jamaa ni waromantic
They’re so friendly wallah
Plant/ herb isn’t bad, vile tu watu ndio wabaya
Mwee zao la Mungu lile