jmn eti km tangawizi!
Hapana dear si una ule msasa? Uwe unatumia ule unazishap vile unavyotaka badala ya kuzikata!
Km laini sana huwa naona wanasema utumie hina ya majani kwa muda zinakua vzr!
Ila sijui km ni kweli, mi kucha zangu ni ngumu!
Lkn hina ile ya dukani au ya kuunguza sio nzuri inaharibu zinakuwa zinakatika tu