Umependeza mnooo. [emoji7][emoji7][emoji177][emoji177][emoji8][emoji8]Depalhaya mambo ya kanisani haya ushindwe mwenyewe
Bila kuwasahau wifi zangu wote[emoji3]wakiongozwa na Saint AnnieView attachment 2163244View attachment 2163245View attachment 2163246
Haya selfika basi nawewe msukuma!Hatukupambi Boss Lady. Wewe ni mwanamke mlimbwende uliyekamilika kila idara. That's a fact!
Ukitaka kuruka kwenye maji rukia, ila kama huwezi ile bembea uwa inaenda na kurudi.Hahahaaa
Hivi kule kubembea huwez kuangukia majini? Niliona watu wanabembea af wanajirusha kwenye maji
🤣🤣🤣 kuogelea kipaji, mwenye sina hyo jeuri
hahaha..... am about to sleep msukuma hata sina jipya!!Safi sana Bosi Ledi. Leo bila shaka tukae mkao wa kula ama?
Shusha hilo shape nawee. [emoji7][emoji7]Miss you too dear[emoji7][emoji8]
Goodnight...
Wacha weee[emoji3059]Au sio kwenyewe [emoji1787] Lenie View attachment 2163376
Haya sasa nishindwe mie tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23]Naomba niwe kamati ya upambaji hasa mekaup
😂😂😂😂 dogo hulali?Wacha weee[emoji3059]
Mimi habari za kuogelea nishaachana nazo.Only in swimming pools
Maji yanayotembea ujue yanavuta?? Afu chemka ni kama mto hivi , tafuta visa na visanga vya mto.
😍Haya sasa nishindwe mie tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dogo hulali?
Au wewe ni boss huko kwenye mabarafu?
Hey ya...tsup?@Lizzy I miss you my friend[emoji112]
Umeziba sana nawee, toa emoj tumuonwle huyo jamaaAu sio kwenyewe [emoji1787] Lenie View attachment 2163376
Loh....kwahiyo hamna kula kula bata kidogo while we wait? 🙄🙄tukifikisha hela ya kuchukua hii ndio nakuruhusu sasa uitoe yoote bank 😀😀😀View attachment 2163252
Me naogelea kwenye swimming pool tu maana nna uhakika hata nikizama sitapotelea huko chini wala hamna mawimbi ya kunisomba😂😂Ukitaka kuruka kwenye maji rukia, ila kama huwezi ile bembea uwa inaenda na kurudi.
Mkubwa hivo hujui kuogelea 🤣🤣 kuna kampani moja huko Matvilla beach ilinifanyaga nikapata ma confidence ya kuogelea ziwani ‘ ila yale maji ya ugoko.
Mwanza pia nilijitahidi kidogo kuogelea 7bu ya bei ya room 🤣🤣😅 unaachaje hela ipepeee
Jinsi ulivyo na roho nzuri bosi ledihahaha..... am about to sleep msukuma hata sina jipya!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mjipangee tyuuh sare na michango.Aririririririiiiiiii
Ulale nje kibarazani [emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na joto lilivyokali
Hawa wezi wametupa adhabu ya kujifungia madirisha utadhani tupo motoni .