ππππ hao wana maisha mafupi sanaaa... fatilia kwa ukaribu wanawake wa vizinga hawanaga maisha marefu.. maana hubeba laana za wachunwa na malalamiko.. mtu kaitoa hela kwenye mazingira magumu alafu mwanamke anaila kizembe zembe lazima laana imuhusu.. sasa unakuta ana laana za kila mwamba kwanini asifie mapema