Upo sahihi kabisa , huu uzi upo addictive mno .Nilichojifunza,
Huu Uzi umejificha ila una vimaongezi flan vitamu vitamu huishiwi hamu kusoma.
Ukipazoea uku majukwaa mengine Unayasahau kabisa[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawapenda Sana[emoji4][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] baba Jei kama baba Jei
Nyie Ndo mnafanya unakua addictive[emoji4]Upo sahihi kabisa , huu uzi upo addictive mno .
Nakuelewa mzee, nazijua shida zako ndiyo maana nimekuja kukusaidia 🤓Umefanya vizuri Depal unajua Uzee huu hadi nasahau tarehe ya kwenda kuchukua mafao 😀
Kwenye hizo hela za mwezi huu ukate kabisa na hela yako ya Brazilian hair, manake tangu mwezi uliopita ulikuwa unadai tu, usisahau na kwenda kulipa advance ya Ile plot yako ya Madale 🤪🤪
Sure
Uzi uko POA,Sure
Watu humu wapo friendly .. uzi bora kabisa huu
Kongole kwa Mshana
Hakika alifanya jambo jema kuanzisha uzi huu .
Kwa kweli unanipatia sana, hadi natamani nikununulie kisiwa chote Cha Pemba kiwe chako ni vile tu Pension haitoshi 😀😀Nakuelewa mzee, nazijua shida zako ndiyo maana nimekuja kukusaidia 🤓
😅😅😅 ila G
Order received with thanks 😊
Sio unachunwa,Nakubali mwamba piga kazi leo Haww mabinti humu wametamka wazi wapo katika kutaka kutuchuna tu [emoji28]
Ooh yeahUzi uko POA,
watu hawana makasiriko uku.
Yaan watu wa humu utadhan Watoto wa baba mmoja[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio wa baba mmoja bwana, we jamaa vipi[emoji23]Uzi uko POA,
watu hawana makasiriko uku.
Yaan watu wa humu utadhan Watoto wa baba mmoja[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unalipamba neno kuchuna na kiingereza kuchuna wamesema watachunia hata panga dahSio unachunwa,
Unauziwa huduma.
Inaitwa win-win situation [emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Chaaaa!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sio wa baba mmoja bwana, we jamaa vipi[emoji23]
Tunaishi kama nduguUzi uko POA,
watu hawana makasiriko uku.
Yaan watu wa humu utadhan Watoto wa baba mmoja[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa na ka picha ka mwanafunzi mwenyewe.. nikasema nimuelekeze aje apate lecture 2Nakubali mwamba piga kazi leo Haww mabinti humu wametamka wazi wapo katika kutaka kutuchuna tu [emoji28]
HahaaSio wa baba mmoja bwana, we jamaa vipi[emoji23]
Kaka jilie vyako kwani kwenye kutafuta tulikua wote: sema we jamaa unajua Sana kuchagua watoto wazuriNilikuwa na ka picha ka mwanafunzi mwenyewe.. nikasema nimuelekeze aje apate lecture 2 View attachment 2162845
Tukisafiri awepo etiii joyAisee hela zenu wanawake ngumu Sana Kama zimeshikana na roho..by the way nitafutie kabinti kakulea mwanangu joy
On behalf of hao mabinti.. don’t quote us wrong 😑Nakubali mwamba piga kazi leo Haww mabinti humu wametamka wazi wapo katika kutaka kutuchuna tu [emoji28]