[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada sukuwezi wee khaaah.Wakamueni tu kila kitu
Zile nanii kama zinatoa maziwa basi kamua nayo mnywe babeq
Sina huruma Kwa wanaume wenye ndoa wachepukaji.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie jaman lolSasa mtu anataka uchepuke naye for free??
Inatakiwa ukitoka hapo unakuwa ushamvuna hela za kutosha kama biko wanavyovuna buku za maelfu ya watu.
Hii itasaidia baba zetu,waume zetu kupata akili.
Fafanua kwanzaAsante mno mno, umenipa moyo sana, hilo litawezekana kwani hakuna kisicho wezekana chini ya jua.
Ila uanaume wangu nao unasumbua!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shida iliyopo wengi ndo wale wanafanania na mamajusi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee tena sasa, nalitaka lile ingneUmeongea vizuri
Jioni nakupitishia gauni la kwa Mwakiswelelo [emoji23][emoji23][emoji23]
Umemalizaaaaaah. [emoji23][emoji23][emoji23]Hawa wa huduma huwa sanasana wanatoka na kaka zetu mahandsome boy wa kuitwa Mario.
Umefanya vizuri Depal unajua Uzee huu hadi nasahau tarehe ya kwenda kuchukua mafao π
Mmeletewa vifaaa.. maalamu.. ya nini kuchepuka tenaππππ
Ila pia sio wanawake wote wanachepuka kwa ajili ya hela, kuna wengine wanahitaji huduma tu basi pesa wanazo zao za kutosha
Anaonekana mrembo huyo .Fortnox nipo class namwaga shule.. ya mazingira[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2162771
Uncle wako mtu wa watuu.. πππAnaonekana mrembo huyo .
Uncle na wewe unafaidi sasa [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2162770
Hatimaye imekuwa vijana mnakwama wapiii[emoji12][emoji51][emoji51]
Wee njoo hapa ghorofa ya 3 utanikuta chumba no 9.[emoji23][emoji23][emoji23]
Upo vyema uncleUncle wako mtu wa watuu.. [emoji3][emoji3][emoji3]
Wee njoo hapa ghorofa ya 3 utanikuta chumba no 9.[emoji23][emoji23][emoji23]
π€£π€£π€£π€£π€£π€£ baba Jei kama baba JeiNilichojifunza,
Huu Uzi umejificha ila una vimaongezi flan vitamu vitamu huishiwi hamu kusoma.
Ukipazoea uku majukwaa mengine Unayasahau kabisa[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
kwamba vitumbua havipo ama,kisa cha kuuziana mikate hela za kodi ya nyumba nini?
Pambana na wewe tule ubwabwa wewe wapende wauza sura hao kuoa kwao ni mtihani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]