Ooh
Hatari sana, kweli wanaume wa kuanzia 34+ ndio wamechemka kwa u polygamy..
Na wale wa 36-42 ndio shindikanaa kwenye u polygamy
Kwa case yako kuna mawili, moja re build hiyo ndoa, ifufueni. Ifanyieni masham sham ya kila dizaini irudi kuwa mpya.
Pili njoo huku nje kina Coca wakufanye hamna