Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Muhimu, umeona mimi Navaa bracelet na saa kwa wakati mmoja..!! Na kipini juu 😹😹
Chain, pete na napenda kunukia kuliko chochote..!

Mwanamke ni namna anavyojiweka, haiba yake, exposure, mavazi yake na namna anavyojichulia, na hivyo hivyo ndivyo anavyotazamwa na wanaume.
Ukiwa na haiba flani na kuji position vizuri, hata wanaume unapata wa sawa na hadhi yako.
 
Una chambaaa hakyamungu lol 😅
Mie niulize kutupia raba na jeans na nywele ndio vitu vyangu 🔥🔥🔥🔥

Nadhani mshikaji wangu anapenda hizo pigo japo sometimes natinga hata buibui sikaririki
 
Back
Top Bottom