Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wanataka pesa na matunzo.
Kuolewa na kuoa, sio shida zetu. Uwiiiiih
 
Bize kidogo msukuma.. Habari za uzima![emoji113]
Aisee tupo. Nimeingia nikaanza kusaka alama zako sikuona ndo nikaona nikuulizie. Pole na ubize mamake. I hope everything is fine...

Tutegemee kakitu baadaye au sababu ya ubize leo hakuna kitu?

Halafu umekwoti comment yangu wakati bado naipa assist hapo juu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Tatizo sina selfii mpya msukuma! leo sijapiga kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…