Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Fj ni heshima tu, huku zipo chache kwa miezi kadhaa unaweza kuziona mbili au tatu chache sanaaa.. gari ikisha achwa kuzalishwa changamoto.. mmbadala wake mzuri naona Jeep Wrangler.. hiyo kwa safari za dar usukumani ni mnuso.. na safari ya ukanda huo tamu sana kuanzia nzegaaa
 
[emoji2][emoji2]sante nshapoa sasa hivi atakua dereva wangu
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]ulipata waat?!!we uko mtu mbaad ulielewa somo kwa pasenjaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.. nakulaga vichwa vya wasouo tu.. na dalai pale kabla chombo haijafika nampa maelekezo.. sibebi bei watu.. abiria wangu wanakula saba bataaa yaani.. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€..
 
Nikiwa na ishu ya hivi vyombo vya usafiri nitakuwa nakuja PM kuuliza. Usinichoke [emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…