cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,159
- 181,299
Babuuuh bhana, afu Mbna mie humu natuma sana yaanLeo nina bahati. Mpaka mjukuu nimemuona japo haonekani...uko vizuri mjukuu
Wee si uko buzzy hapo London. Uwiiiih.




Babuuuh bhana, afu Mbna mie humu natuma sana yaanLeo nina bahati. Mpaka mjukuu nimemuona japo haonekani...uko vizuri mjukuu




Shem lake. Una mpango wa kuselfika saa sita na nusu hii?Leo ladies free tumetoroka we Linda tuu
Kazi iendeleeeHahahaaa.. nililala selfika mkaniamsha sasa usingizi umekata kabisa!
Twende kazi sasa. Tena wengi weshalalaHahahaaa.. nililala selfika mkaniamsha sasa usingizi umekata kabisa!
Mmeselfika 5times Leo!ulikua wapi?!!Shem lake. Una mpango wa kuselfika saa sita na nusu hii?


Ni Tomaso wa mwisho katika hili. Labda uazime!Huamini au?
Tupo faza Leo walinzi tupoTwende kazi sasa. Tena wengi weshalala
RR ni gari chuma ya muingereza, vingine hivyo ni visafirishaji 😊😊😊 kukutoa point A to BSio ndinga RR,hivi vimeo nshasema mpk nipate yangu ukiona Niko road baasi dharua mnoo!!haswaa wale females brothers washazima mi ndo nawasaidia!!!
Mtoto wa mwanamke mwenziooHuamini au?
😜😜😜😜😜😜😜😜😜!!! kaa kwa kutulia..baki pale pale👈👈wee shouzzzzzzzz mweeeh.
Dah! Jamani!Mmeselfika 5times Leo!ulikua wapi?!!![]()
RR ni gari chuma ya muingereza, vingine hivyo ni visafirishajikukutoa point A to B











jamani kaaah!kukutoa point A to B!!balaa na nusu gari Kali ile!heshima kwa kila mwenye nayoooNi Tomaso wa mwisho katika hili. Labda uazime!
Misemo ya Kiduku Lilo. Vingine ni vyombo vya usafiriRR ni gari chuma ya muingereza, vingine hivyo ni visafirishajikukutoa point A to B



Ni wanaume haswaaa tena washokaaa 😊😊jamani kaaah!kukutoa point A to B!!balaa na nusu gari Kali ile!heshima kwa kila mwenye nayooo