Ukosiriaz hutak mtu akuguse wala kukuongelesha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa mkuu unatafuta urahisi kwente games?? Ule ugumu wake ndiyo utamu wenyewe!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaani ukitilt simu kumpeleka runner pembeni na wewe unaenda hadi unaonekana kama tonji fulani hivi
Mambo ya kisulisuli sio pouwaUmefurahi nini
Nimegundua huu uzi unafuatiliwa na wengi sana kimya kimya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ukipenda unaweza toa qhadi za kipumbavu ambazo hata ww siku ukikaa ukatulia lazima ujicheke..Utasikia nitakununulia Boeing wakati hata Bombardier tu commercial hajawahi kupanda
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hata hili ni gumu hatari tena kwa ninavyoona hilo unalicheza ndio rahisi zaidi. Yaani vipe unavyomyumbisha nawe unayumba kabisa... Apo Ukosiriaz hutak mtu akuguse wala kukuongelesha
Semegi leo umevaa moka.
Mimi mkubwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbona watu wengi tu humu tayari wanajua kwamba na wewe ni 'kifaranga'
Ila daah JF bhana
SawaMambo ya kisulisuli sio pouwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ukipenda unaweza toa qhadi za kipumbavu ambazo hata ww siku ukikaa ukatulia lazima ujicheke..
View attachment 1248120
@Watu8 umesema unataka moka kama hiyoo
Mimi mkubwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shauri zako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]daah
Sema ukweli banaNi mgeni yule hajui hata kusoma comments
Endelea kufikiri Mimi mdogo [emoji23]Si napaa kwa mikono
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwani ni hadi muwe mmependa mkuu au ni pale mnapofikaga mawenzi ndiyo huwa mnatoa hizo ahadi hata kama ilikuwa one night stand
Sie wengi wakiwa kwenye Computer Lab ndio walikua wanastream online games. Lec anarusha slides kumbe wazee wanakomaa na GTA qu Euro trackYaani acha tu mkuu nakumbuka tukiwa uni kuna watu walikuwa wanacheza class yaani lec anapiga pindi huku mtu yuko busy anayumba kama teja basi watu wakimstukia wanaanza kumcheka hadi lec anageuka anadhani mnamcheka yeye basi anamind kinoma