Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimeona hizi picha, nimekumbuka msemo wa Shimba Ya Buyenze kuwa "Ogopa Matapeli hakuna Mnyaki asiye na Chura"

Hakika Mungu fundi [emoji85]
Nilishatoa laki moja keshi. Mtu ye yote anitafutie binti wa Kinyaki flati skrini kabisa hana hata kishundu kabisa cha kubingirika. Naona nitaishia kuila tu hii hela...

Kwa kifupi hakuna...

Imagine Mtakatifu aachane na magauni na masketi yake ya Ki-Abiudi weh!

Wakati wa uumbaji Mungu Aliindoka na udongo wake kutoka mikoa ya Kaskazini na kwenda kuumalizia wote huko kwa Wanyaki [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Kwamba wa kaskazini tumewakosea nini?
 
Naomba hiyo laki. Mimi sina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa mie nimefanyaje tena shouz uwiiiiih
Unaniamsha na habari zako za kukojoa!πŸ€­πŸ€­πŸ€­πŸšΆπŸ½β€β™€οΈπŸšΆπŸ½β€β™€οΈπŸšΆπŸ½β€β™€οΈπŸšΆπŸ½β€β™€οΈ
 
Kwamba wa kaskazini tumewakosea nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…