Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yea,tunatofautiana sana!
Na inategemea unavaa unaenda wapi pia!
Sie wa church fresh!
Na pia huwezi vaa nguo za aina moja kila siku ,km za kubana,(tight,shift nk) kuna wakati unasikia tu kuwa huru hutamani nguo ikushike km hivi tu![emoji3]
Ulipendeza sana
Na rangi yako inakubali hiyo nguo dear


Mshono wako nimeupenda..natamani niuone kwa mbele.
Pia unywele huo[emoji3059][emoji91][emoji108]
Aisee...weka ya karibu tuone huo unywele mama.
 
Ulipendeza sana
Na rangi yako inakubali hiyo nguo dear


Mshono wako nimeupenda..natamani niuone kwa mbele.
Pia unywele huo[emoji3059][emoji91][emoji108]
Aisee...weka ya karibu tuone huo unywele mama.
Picha za cm ya tecno sio macho 3[emoji3]hakuna namna
Tatizo picha za karibu mpk nifiche uso kwanza,wait
 
Asante dear
Nimeona lavender mmeielewa ....
Ukiona mbele ndo utaipenda! Ila ni ya church tu...
Mi napenda kudesign mwenyewe ila sijui kushona[emoji3]kwahiyo nikipata styl nampa fundi ananishonea nachotaka!
Byurifuuu[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Dada nigawie nywele.

Aiseee umependeza mno


Tuone na kwa mbele hilo gauni nimelipenda.
Nidese mshono huo wa kutokelezea church[emoji3059]
 
Mbele uliko sema kuzuri sana sijapata picha yake clear…

Una nywele aisee [emoji3059]

Yan hapa tumejaa church ladies, we tumwagie tu dizain mbali mbali za mishono tuibie ibie dear.
Mabinti Abiudi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nafurahije kuona wanaongezeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…