Selfika na JF: Snap it. Show it

Watu wamelala dorooooo

Wanaitendea haki mvua ya leo....

Ngoja niachie taswira ya Bi Kasinde kwa sekunde 10.... 😁😁😁
 
Hahaha jamani usinichekeshe mimi

Kuna harusi moja hivi karibuni lavender ilikuwa wedding colour aisee nilisema tu siendi ..
Rangi gani hii sasa
Harusi gani ina code 1? Wamebugi hapo

Kuna harusi nimetoka kuhudhuria mwanzoni mwa mwezi huu, Lavender ilikuwa mojawapo ya code.
Bridesmaid na groomsmen walivaa lavender na walipendeza.
Kumbembe sisi wananchi waalikwa 🀣
Zilikuwa rangi 3 ila naona karibia nusu tulikumbilia maroon

Kuna rangi ukiziangalia unakosa mpk mshono
 
Zilikuwa tatu lavender , gold na black .
Mimi tu nilighairi kwenda ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…