Selfika na JF: Snap it. Show it

Ubahili upareni is overrated [emoji2]

Wabahili eti nasikia ni wanyaki na wasukuma [emoji23][emoji1787][emoji23]

[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Wasukuma kwenye ubahili watoe haraka sana tena bila masharti. Si kwenye vyakula wala pesa. Msukuma akiwa nacho anakupa tu na ni mojawapo ya makabila yanayojulikana sana kwa ukarimu. Ubahili waachie Wapare na Wakinga [emoji51][emoji51][emoji51][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Kweli kabisa bageshi, wasukuma hawana ubahili kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…