Ticha anakuta banda 😃😃😃.. kumbe ume cut hizi forgery zilikuwa zinaokoa sana... una mrudishia na hakati maala kila kitu kinaonekana ni yeye.. unakuta anabadilisha tu.. ila ndio ujasiri sijui tulikuwgaa tunatoa wapi
usijali dear au ntakuletea kwa PM yaani nilikua boonge shavu dodo kama mimba ya panya vile but nimemeneji mpk 68 but I can see nimeongezeka nna 70 sasa hivi zinakuja kuja tu kiajabu