Selfika na JF: Snap it. Show it

Definitely He doesn't. Sema tu ni tamaduni za watu huku na huko...na common sense tu. Kwamba usivae mavazi ambayo yanaweza kumkwaza mwingine kwenye ibada yake...
Ni jambo ya kushukuru maana wengine maombi yetu yangekuwa yanarudishwa kama yalivyoenda 😇🙏🏾🙏🏾
.....na baraka zake tungeishia kuzisikia kwa watakatifu.
 
Magari ni burudani sana tena tosha.. ukiwa bored gari inatoa stress.. hasa kama chuma imetulia.. ukiingia tu road stress tupa kule
Napenda kuendeshwa
sana afu Mimi niwe nampisha story dereva tufike sehemu tupaki,tuongee tu then tuanze tena safari!napendaga sana

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Kivuruge wanguu nambie shooo!!nipo nilikua naandaa maakuli udugu wako!!Mimi naenda Ludewa hukoo kwa kina Del Filikunjombe maana ndo alikuaga mbunge wetuu!!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…