View attachment 2155583
Ni jukumu letu sote kuendelea kukumbushana umuhimu wa kuwa na afya njema Kwa watu wa Rika lote. Though msisitizo zaidi uendelee kutolewa Kwa vijana wanaochipukia.
Unapokuwa unaugua mara kwa mara huathiri kipato chako pamoja na kuathiri shughuli zako za maendeleo Kwa ujumla, kwani itakulazimu kuhudhuria kazini mara chache wakati muda mwingi ukitumia hospitali kujiuguza.
Sio HIV tu bali hata maradhi mengine pia yachukuliwe Kwa uzito unaostahili hasa Pressure, Kisukari, Moyo, Saratani n.k hasa kwa sisi Wazeeπ
God is good all the time ππππ