Na kuna mazingira ambayo ni even worse kwa watoto; hata kama wanalelewa na wazazi wote wawili. You simply traumatize the innocent kids. Na wakati mwingine ni bora tu muachane kuliko kuja kuchomana gunia za mkaa
Sometimes bora kua hvyo kuliko mateso don't ever accept kuteseka for the sake of kids mambo mengi yanavumilika ila sio manyanyaso mwisho utaambulia kifo which is too worse na watoto watakosa malezi ya wazazi mmoja jela mwingine kaburini!!