Huyo nguruwepori atakayejichanganya kwangu amekwisha
Ntamnyoosha..hawezi niletea ujinga afu nimuache salama
Namsweka huko ndani
Nawaagiza askari magereza walilimishe mashamba hadi lipasuke nyongo
MfyuuiUko free na hausemi
Kawaida sana my dear ni kusali tuu mpendwa!!!Nimejaribu tu kuvaa viatu vya huyu dada.
Kuna wanaume wajinga duniani hapa.
Nikawaambia au niwape mia mbiliyaan wee lol
Teeeeeaaaaah, wapi twin ake, weuweeeee
Kaache kakue kwanzauna konfidensi heaven sent unamskia huyuuu!!sio rahisi hvyo mdogo wangu na haswaa ukizaa it needs courage na divorce ni last option ukiona hakuna namna tena ila kuna alternatives nyingi mnoo tunaziattempt I don't entertain divorce ila mpk ibidi sana my binamu unless komaa mpk kieleweke hawa wanaume ndo hawa hawa na sisi ndo sisi sisi
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Mtu kama anajua ataniletea drama basi asjje.una konfidensi heaven sent unamskia huyuuu!!sio rahisi hvyo mdogo wangu na haswaa ukizaa it needs courage na divorce ni last option ukiona hakuna namna tena ila kuna alternatives nyingi mnoo tunaziattempt I don't entertain divorce ila mpk ibidi sana my binamu unless komaa mpk kieleweke hawa wanaume ndo hawa hawa na sisi ndo sisi sisi
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Natamani ningeukuta unaanza
Aiseee...ningeununua wote jumla jumla
Alikukosea mno aisee
Roho inaniuma mimi
👌👌👌👌👌👌👌👌👌 🪛🪛🪛 Saint Anneuna konfidensi heaven sent unamskia huyuuu!!sio rahisi hvyo mdogo wangu na haswaa ukizaa it needs courage na divorce ni last option ukiona hakuna namna tena ila kuna alternatives nyingi mnoo tunaziattempt I don't entertain divorce ila mpk ibidi sana my binamu unless komaa mpk kieleweke hawa wanaume ndo hawa hawa na sisi ndo sisi sisi
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
afu tayari ujue!!
Muache hapa silali jus nasubiri nijue amefika or not maana simpati kwa simu
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
DahKawaida sana my dear ni kusali tuu mpendwa!!!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Ataniharibia buree staki taabu miye hua wakitaka kuongea na mdingi nampigia anko wao anawaunganisha juu kwa juu!!khaaaah wee ni mzazi mwenza huyooo
Mimi naurewindmda Sana'a mpenzi!!mpk kumove on hua inachukua 2 to 3 mpk 4 kumove on ,now nshasahau hapa namtania shemeji yangu SYB tuuu
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Kuna wakati utafikiri kamekunywa kumbe hakuna ni upambe tu