Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,546
- 235,319
Kadogoooo
[emoji56][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji3][emoji3]mla senene wangu hawezi huyu amefika na miye mmefika Kigoma mwisho wa leri,hvyo tumefikishana...!!Mimi kurudi hukoo babinza na engwasii sahau tenaa!!![emoji23][emoji23][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!!!hapa najiandaa kwenda MisenyiNajua shem. Hapa tunataniana na kucheka tu basi...kasoro huyo mla senene. Nammaindi kishenzi basi tu. Bado kakwama mkoani au keshatia kambi? Kama namuona vile [emoji51][emoji51][emoji51] Nataka urudi kwenye ukoo wa Babinza [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Bina reymage nilisema mimi huyu dada ana roho nzuri[emoji3059][emoji3059][emoji3059]For you my one and only wizo! usitoke
[emoji16][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23]halotel ndo Sanaa na airtel kidogo una bahati hujatukanwa wana matusi balaaKuna tapeli amenipigia simu
Kweli maisha ni magumu mtaani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa sijui anataka kunitapeli nini wakati hela sina.
Nimemsikiliza weee Hadi mwisho nikamwambia asihangaike sana mimi hela sina.
Dogo umepotea sanaaaWakunyumba oyeeeeeeeee
Wee!!hongera sana kwa kijana wetu...I love her! Ngoja akija bongo akapige goti kule bariadi Kwanzaa[emoji2][emoji2]sijui ataweza na kule michembaa!!!Nikifika home nitakufafanulia maana ya majina haya na muktadha wake.
Mpwa ilibidi ajifunze ili aweze kuongea na bibi yake kwa sababu bibi alikuwa hajui lugha nyingine. Mpwa alikazana mpaka wakawa wanaelewana kabisa hata kusimuliana hadithi za Kisukuma, kuimbiana nyimbo na michapo mingine...
Ninayo basi sina kwa leoAhsante best
Nipoze na selfie basii
Wamenitukana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23]halotel ndo Sanaa na airtel kidogo una bahati hujatukanwa wana matusi balaa
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Pole ulikua wapi na chuo mmefunga?!Nimepitwaaaah
Hongera mamiii[emoji3059]
Warureeeeeee 🤸🏻♀️🤸🏻♀️😘😘😘
HahaaaaUtatuua na pressure
Nusu nivunje mguu nawahi selfie ya mrembo Tinsley
Ona kababy face haka jamani chaaaa[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Mguu una uvungu mzuriTBT
14/2, Valentine's day, [emoji3590][emoji3590]
Nikaenda zangu photoshoot. View attachment 2155814
Tayariiiii mlongo.
🤣🤣🤣🤣🤣 wanataka uwarudishie capital yao waliotumia kuongea na weweWamenitukana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wao wamekuja kwa gia ya biashara.
Na mimi nimeenda nao hadi mwsho..
Kama saa zima naongea nao
Huyu anasema mpigie huyu mwambie hivi?na mm nafata maelekezo hivyohivyo..anasema mpigie tena mwambie hivi
Hivyohivyo nafata
Wakajua wameniokota kweli
Sasa mwishoni nilikuwa nimemuweka conference rafiki yangu anasikiliza
Akaangua kicheko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakasikia
Akawaambia sasa mnataka kumuibia dada jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Weee mmoja ameporomosha matusi..mwingine anasema basi naombeni hata hela ya vocha jamani
Kumbe wamekaa wote sehemu moja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tukamwambia mwenzio ametutukana ?tungekupa..anasema ngoja nimwambie awaombe msamaha jamani..mnipe angalau ya vocha tu[emoji1787]
Uko sawa sana.Niliweka hii hapa wii
Saint Anne smile increases face value [emoji12]View attachment 2155812
cocastic hii
Dada uchawa na upapasi unauweza uko vzr[emoji119][emoji119][emoji119][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]mweehhAnayebisha afanye kama anajikuna
Anyoshe kidole
Yutong ya bosi ledi kama mlima loleza limefunika uzi mzima..hakuna mtu anaona ndani
Hata yule dada mshepu wanamsifiaga humu haoni ndani
Huyu ndiye boss ledi sasa tunayemjua sisi[emoji91]