Selfika na JF: Snap it. Show it

Yeah, unalimit process ya heat exchanging...

Kawaida ndani ya tarakishi kuna fan inayopoza CPU kwa mtindo wa kulitoa joto lililopo ndani liende nje, sasa unapoiweka juu ya godoro unazuia huo mzunguko wa hewa maana godoro sio conductor mzuri wa joto zaidi ni kama thermal insulator fulani hivi...
Kumbe ndio maana yangu ilikufa
 
Shukrani kwa somo bachela sugu.
 
Kwakweli dada mimi sijui. Ukiona nimefungisha na kurudi nyumbani ujue sababu ni mambo kama haya.
Chumba chako nilivunja nikafanya wardrobe. Hivyo utalala sebuleni ukirudi.

Hebu kwanza uweke hiyo kambo sawa kama sio wewe unahusika basi muombe sana Mungu akufanyie wepesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…