Selfika na JF: Snap it. Show it

🀣🀣🀣🀣 Hizo za Mshana Jr sizitaki aise.πŸ™‰ Mambo yanaweza kuwa mengi ghafla πŸ™„

Safi sana!πŸ‘ŠπŸΎπŸ‘ŠπŸΎ
Ila hiyo ndio raha ya kujua unachokifanya. Hata siku mambo yasipokuwa mazuri sana bado unajua ukikomaa kitaeleweka tu. Ila acha kunishawishi maana hata hako ambako nikiweka roho haitouma bado itauma mpaka nirudi kukulilia. 😁
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ukipoteza nitapitisha bakuri kwenye team yetu tukuchangie urudishe ulichopotezaaa.. never give up hata uanguke mala ngapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…