😀😀😀 na zinanoga sana hasa kwenye withdraw.. mfano majuzi nimetoa mpunga.. nacheki usiku wa saa saba usiku ka massage ka ABSA twii.. kucheki hivi mzigoo huuo.. asubuhi nimeamka ninacheka tuuuu..
😀😀😀😀... mcheki Mshana Jr atumie utaalamu wake uzikute kwenye mkoba
Upload mwanzo mwanzao lazima iwe kubwa kuliko download.. kuna siku nilianglia history ya account moja hadi nilichoka.. upload $ 10,000+ download sasa hii hadi ushunguuuu.. but king'ang'azi na kuto kata tamaaa.. ingia bwanaaa weka ka. mzigo ambapo roho haito uma hata kakienda na maji 😀😀😀