Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Mar 18, 2022 #161,661 Tinsley said: Thank you ... Simple lakini unapendeza Click to expand... Kabisa. Sio mambo ya kupakwa make up utafikiri umepakwa unga; wengine ndiyo wanakandika foundation hadi sura inakuwa nzito kama uji mweeh
Tinsley said: Thank you ... Simple lakini unapendeza Click to expand... Kabisa. Sio mambo ya kupakwa make up utafikiri umepakwa unga; wengine ndiyo wanakandika foundation hadi sura inakuwa nzito kama uji mweeh
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Mar 18, 2022 #161,662 Heaven Sent said: Kabisa. Sio mambo ya kupakwa make up utafikiri umepakwa unga; wengine ndiyo wanakandika foundation hadi sura inakuwa nzito kama uji mweeh Click to expand... Hahaha kweli dear Unakuwa hupendezi hata mbaya zaidi ukute wanatumia foundation mbaya zile .. Kikubwa kwenye kupakwa foundation ni muhimu waangalie skin tone yako , Sio wewe mweusi wakupake ya mtu mweupe hapo unabaki kuwa kichekesho .
Heaven Sent said: Kabisa. Sio mambo ya kupakwa make up utafikiri umepakwa unga; wengine ndiyo wanakandika foundation hadi sura inakuwa nzito kama uji mweeh Click to expand... Hahaha kweli dear Unakuwa hupendezi hata mbaya zaidi ukute wanatumia foundation mbaya zile .. Kikubwa kwenye kupakwa foundation ni muhimu waangalie skin tone yako , Sio wewe mweusi wakupake ya mtu mweupe hapo unabaki kuwa kichekesho .
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Mar 18, 2022 #161,663 Heaven Sent said: Wee sema tu suu, nahamia sasa hivi Click to expand... Eti sema suu
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Mar 18, 2022 #161,664 Na MUAs wengi naona kwa watu weupe wala hawana tatizo; kwa sisi vyeusi mangala sasa, hukawii kuchekesha Tinsley said: Hahaha kweli dear Unakuwa hupendezi hata mbaya zaidi ukute wanatumia foundation mbaya zile .. Kikubwa kwenye kupakwa foundation ni muhimu waangalie skin tone yako , Sio wewe mweusi wakupake ya mtu mweupe hapo unabaki kuwa kichekesho . Click to expand...
Na MUAs wengi naona kwa watu weupe wala hawana tatizo; kwa sisi vyeusi mangala sasa, hukawii kuchekesha Tinsley said: Hahaha kweli dear Unakuwa hupendezi hata mbaya zaidi ukute wanatumia foundation mbaya zile .. Kikubwa kwenye kupakwa foundation ni muhimu waangalie skin tone yako , Sio wewe mweusi wakupake ya mtu mweupe hapo unabaki kuwa kichekesho . Click to expand...
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Mar 18, 2022 #161,665 Heaven Sent said: Na MUAs wengi naona kwa watu weupe wala hawana tatizo; kwa sisi vyeusi mangala sasa, hukawii kuchekesha Click to expand... That's so true ...sie weusi ndo kama umekosewa kupakwa inabidi upunguze tu . Sema hizi saluni za mtaani au upakwe na mtu hapo kuna asilimia kubwa za kutopendeza au kukandikwa foundation tu hapo .
Heaven Sent said: Na MUAs wengi naona kwa watu weupe wala hawana tatizo; kwa sisi vyeusi mangala sasa, hukawii kuchekesha Click to expand... That's so true ...sie weusi ndo kama umekosewa kupakwa inabidi upunguze tu . Sema hizi saluni za mtaani au upakwe na mtu hapo kuna asilimia kubwa za kutopendeza au kukandikwa foundation tu hapo .
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Mar 18, 2022 #161,666 Tinsley said: That's so true ...sie weusi ndo kama umekosewa kupakwa inabidi upunguze tu . Sema hizi saluni za mtaani au upakwe na mtu hapo kuna asilimia kubwa za kutopendeza au kukandikwa foundation tu hapo . Click to expand... Yes ukienda saluni za mtaani; basi jiandae tu kufuta hiyo make up
Tinsley said: That's so true ...sie weusi ndo kama umekosewa kupakwa inabidi upunguze tu . Sema hizi saluni za mtaani au upakwe na mtu hapo kuna asilimia kubwa za kutopendeza au kukandikwa foundation tu hapo . Click to expand... Yes ukienda saluni za mtaani; basi jiandae tu kufuta hiyo make up
Nyani Mzee Snr JF-Expert Member Joined Feb 4, 2021 Posts 12,122 Reaction score 42,761 Mar 18, 2022 #161,667
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Mar 18, 2022 #161,668 Heaven Sent said: Yes ukienda saluni za mtaani; basi jiajdae tu kufuta hiyo make up Click to expand... Absolutely
Heaven Sent said: Yes ukienda saluni za mtaani; basi jiajdae tu kufuta hiyo make up Click to expand... Absolutely
Wigelekelo JF-Expert Member Joined Sep 2, 2018 Posts 8,765 Reaction score 26,901 Mar 18, 2022 #161,669 9.8ms squared said: View attachment 2155021 Click to expand...
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Mar 18, 2022 #161,670 Lovelucky said: Mimi ni mpiga picha tu mdogo wangu Click to expand... Aaaaah wapi wee, ndani ya chombo kwa hewa tena kwa dere kabisaa.
Lovelucky said: Mimi ni mpiga picha tu mdogo wangu Click to expand... Aaaaah wapi wee, ndani ya chombo kwa hewa tena kwa dere kabisaa.
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Mar 18, 2022 #161,671 mahondaw said: Ulipendeza sana!! Click to expand... Mie sijaona mbna uwiiiih
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,937 Reaction score 30,099 Mar 18, 2022 #161,672 9.8ms squared said: View attachment 2155021 Click to expand... Hahahaha
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Mar 18, 2022 #161,673 Tinsley said: Hahaha kweli dear Unakuwa hupendezi hata mbaya zaidi ukute wanatumia foundation mbaya zile .. Kikubwa kwenye kupakwa foundation ni muhimu waangalie skin tone yako , Sio wewe mweusi wakupake ya mtu mweupe hapo unabaki kuwa kichekesho . Click to expand...
Tinsley said: Hahaha kweli dear Unakuwa hupendezi hata mbaya zaidi ukute wanatumia foundation mbaya zile .. Kikubwa kwenye kupakwa foundation ni muhimu waangalie skin tone yako , Sio wewe mweusi wakupake ya mtu mweupe hapo unabaki kuwa kichekesho . Click to expand...
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Mar 18, 2022 #161,674 Heaven Sent said: Na MUAs wengi naona kwa watu weupe wala hawana tatizo; kwa sisi vyeusi mangala sasa, hukawii kuchekesha Click to expand...
Heaven Sent said: Na MUAs wengi naona kwa watu weupe wala hawana tatizo; kwa sisi vyeusi mangala sasa, hukawii kuchekesha Click to expand...
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Mar 18, 2022 #161,675 9.8ms squared said: View attachment 2155021 Click to expand...
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,472 Mar 18, 2022 #161,676
donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,257 Reaction score 22,131 Mar 18, 2022 #161,677 Mihogo
Nyani Mzee Snr JF-Expert Member Joined Feb 4, 2021 Posts 12,122 Reaction score 42,761 Mar 18, 2022 #161,678 Lizzy said: View attachment 2155053 Click to expand... pili pili hiyo 🙄🙄chai hiyo masala.. kamuwasho kaliko balance
Lizzy said: View attachment 2155053 Click to expand... pili pili hiyo 🙄🙄chai hiyo masala.. kamuwasho kaliko balance
Simara JF-Expert Member Joined Oct 1, 2014 Posts 7,561 Reaction score 23,991 Mar 18, 2022 #161,679 anaejua dawa ya Ulcers hata ya kienyeji yaani kwa mwezi haipiti mara mbili lazima nikachomwe sindano
Nyani Mzee Snr JF-Expert Member Joined Feb 4, 2021 Posts 12,122 Reaction score 42,761 Mar 18, 2022 #161,680 Simara said: anaejua dawa ya Ulcers hata ya kienyeji yaani kwa mwezi haipiti mara mbili lazima nikachomwe sindano Click to expand... Pole sana.
Simara said: anaejua dawa ya Ulcers hata ya kienyeji yaani kwa mwezi haipiti mara mbili lazima nikachomwe sindano Click to expand... Pole sana.