Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji4]
20220317_164831.jpg

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
 
Mideko ka like picha ya page ya 2296 huko zamani za kale 😀, post zingine tulikua watoto wenye tabia za Hovyo sasa hivi tumekua kidogo [emoji16]
View attachment 2154135

Yule matron wao mwenye lafudhi ya kikenya yupo? Hapo watu unawakuta wamekaa kumbe wanaingia mamilioni kwa kucheza na laptop zao tu [emoji4]
 
Yule matron wao mwenye lafudhi ya kikenya yupo? Hapo watu unawakuta wamekaa kumbe wanaingia mamilioni kwa kucheza na laptop zao tu [emoji4]
Sijui Boss , mi naendaga tu kuosha macho😎, waanaingiza mamilioni ni wale wakulungwa wenye skills zao ie (PRICE ACTION) 😎🤣, support & resistance, candle stick patterns etc.
 
Back
Top Bottom