Dooh cocastic usilale sana, unakosa mambo mazuri huku
Watakua busy saivi labdaYaniii hawawezi zikuta wote na Saint Anne wake
Kama nakuonaAsanteeeeee
Leo Sio bahati yao! wabarikiwe TU waliozipata!Watakua busy saivi labda
Best nitupie moja PMLeo Sio bahati yao! wabarikiwe TU waliozipata!



Nachekelea hapa acha tuKama nakuona
Mtoto wa kiume siko proud na hizo mambo za dimpoz hata kidogo,nina pigo za Mr blue..mwambie siwekiSatoh Hirosh kazi kwako hapa

Dimpoz tenamwambie aonyeshe dimpoz ndio msamaha upite

..Hapo hata mimi nakutetea, mwanaume unatakiwa uwe hardcore sio kuonyesha madimples na kulamba lips.Mtoto wa kiume siko proud na hizo mambo za dimpoz hata kidogo,nina pigo za Mr blue..mwambie siweki![]()
SijakubaliHapo hata mimi nakutetea, mwanaume unatakiwa uwe hardcore sio kuonyesha madimples na kulamba lips.
Atakusamehe tu ngoja ashibe lunch
Kabisa..Alafu Mimi ni hip hop simaindigi hizo mambo za kulamba midomo..Nina pigo za Fido VatoHapo hata mimi nakutetea, mwanaume unatakiwa uwe hardcore sio kuonyesha madimples na kulamba lips.
Kwanza Depal ni mtoto wa Arusha,inakuwaje anafagilia vitu km hivyo kutoka Kwa mwanaume?Atakusamehe tu ngoja ashibe lunch
Wacha izo mambo wewe😅
Legeza moyo basi, Aseno mwenzetu huyo ujue😂
🤐🤐🤐🤐😴😴Tulia mwanetu 🤣🤣
Selfie utaweka huweki?
Tuliojiajiri hamna hata iyo ya kuitwa wkend ni mchaka mchaka mwanzo mwishoAfadhali…
Leo naona nitalipwa madeni yangu
Ka oficial dress kametulia
Kuajiriwa ni kugumu basi tu, tena uwe na kazi zile zinazotaka weekly, monthly na qouters report utaona maisha magumu![]()
Asbh uwaze kutoka kitandani mpk ujiandae ufike ofisini, ukifika unawaza breakfast na lunch time. Ukishashiba unawaza muda ufike uondoke![]()
Ikifika alhamis unashusha pumzi, at least week iko ukingoni.
Waliojiajiri nao wana malalamiko yao mengi sana , ni vile tu hatujawasikia.