Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ndy umjibu kavu Hadi kanimaind na Mimi[emoji3]
Unanipa tabu ya kumbembeleza asee..Muombe msamaha!!

Majukumu ni poa kabisa Kaka,sijui wewe harakati zako zinaendaje
😃😃 akwende zake.. mie huyu nimuombe msamaha šŸ˜ŽšŸ˜ŽšŸ˜Ž

Tunashukuru Mungu ndugu yangu. Mwenyezi Mungu anawezesha katika majukumu ya mikono yetu ya kila siku.

Safi sana kaka, tupambane
 
Back
Top Bottom