Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Nitaamini vipiWangoni kwa kupenda mizagamuo, Songea guest bubu had za 3k per day, yaan guest zimezidi nyumba za kuishi.
Wangoni hoyeeeeeeeh,
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣🤣 ila we mzeeIla please Babu hajapokea pension Kwa miezi 6 Sasa kama alivyosema awali 🙈 najua bei ya Bia itakuwa ni Kwa shilingi za Kitanzania na sio Dolali pia 😀
See you there 🥂
Anafatia chaka letu Lenie
Afu anakuja huyu master wa abroad vacation
Afu anakuja niliyembetia… si unawajua wahaya
Afu anakuja Geeeegrahams
Mount Meru HotelMitaa ipi hii shost? Nimchukue mtoto wa mtu tukaogelee
Kwanza ile ya juzi ya cake ilikuwa ya lini? Iko kwa my phone wallpaper 😻 Niliielewa vyediii
We Binti umenishinda tabia 🙌Yaani Aseno nayo ni ya kusema tumebahatisha?
Katiba mpya ni muhimu,uhuru ukipitiliza ni shida,Aseno sasa mnaongea lolote!
Tuone mtaje huyo jamaniAnafatia chaka letu Lenie
Afu anakuja huyu master wa abroad vacation
Afu anakuja niliyembetia… si unawajua wahaya
Afu anakuja Geeeegrahams
Nimeolewa ila sio kiviiiiiiile.Punguza Hilo kopa nikuone vizuri nitakupa buku
By the way,wewe ni mrembo,umeolewa?
Wee mzee hata ushawishi hujui, umepoa km mkojo wa mbuzi, afu hata hujiongezi, kiufupi huna maajabu,Nitaamini vipi
Ikiwa ombi langu
Umelikalia
Mtachagua tuwafunge ngapiWe Binti umenishinda tabia
Hili jambo linaongeleka, please tusifike huko mwishowe ukawaambia vijana next game watufunge bao 4 bure
Hilo sio la kuuliza, wee huwasikii wasanii wanavoimba kila siku uno la kingoni?Wauuweeeeeeehhh!! Nasikia mnakata viuno feni ikasome!!
Moshi oyee 🤸🏻♀️🤸🏻♀️Mount Meru Hotel
Eeh uende weekend hali ya hewa ikiruhusu
Ni ya last week, ilikua KFC
Ooh thank you bebe😊😍😘
Tuone mtaje huyo jamani
Ila Asenali kuna namna wababa wake wamebarikiwa,sijui kwa vile Wana roho za kigenlemen
🤣🤣🤣🤣🤣Nimeolewa ila sio kiviiiiiiile.
We ni shabiki wa Arsenal?
Nimefanya nini rafiki?🤣🤣🤣🤣 ila we mzee
Haya 🚶🏻♀️
Hebu weka hapa nawee khaaah, unaogopa nn kwan?Moshi oyee
Ni angle ya picha tuki compare na hii ya leo au? Aisee ile uko na perfect body kinyama
Nikudorishie? Ila tatizo some viewers here wanaweza kukonekti doti
Nimefanya nini rafiki?
Isingekuwa ni Shabiki wa Arsenal huenda saivi ningekuwa naongoza maandamano ya kudai Pension yetu na Wastaafu wenzangu, Kila wakitaka kuandamana nawaambia tuvumilie kama Arsenal tunavyovumilia Epl tangu 2004.
Mama anaupiga mwingi kwahiyo atatukumbuka tu na Pension yetu 🥱
Inakuja usitoke bossNasubiri yako
Nitaifanyia maombi ya siku 3. Nitaanza nayo jion😋Tuliitunza ili mtumishi mwenzetu uifanyie maombi.
Nilimshinda shetani
Mweee