Selfika na JF: Snap it. Show it

Timu lenu siavi mmeacha mipira mmegeukia u free Mason Ngoja siku hiyo na man utd hayo mapepo lazima yatoke yatake yasitake mpaka Leo hua hatujui zile tano zilifikaje Ni nguvu zenu za giza
Yesuuu

Umenisurprise...sikutegemea ungekuja na huu utetezi

Kweli mmevurugwa


Safari hii mnakuja kiumeni Anfield,tutawachakaza 10.
 
Leo kuna ki hali cha hewa mwanana
Na enjoy tu kuona fujo za vijana wa J. klopp
SA kama nakuona 🤣🤣
Mwenzako jana nilibet na shabiki wa Arsenal… nilimwambia mtafungwa
Na yamefungwa 🤣🤣

Nisubiri muamala nikale ugali dagaa wa mama Clareee 🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️
 

Hivi naye kwa akili ya kawaida,alikubali kabisa kubet na kuwapa arsenali ushindi!?

Kwa timu gani waliyonayo ya kuifunga Liverpool??
Hii nchi uhuru umezidi sasa


Hakuna namna,atoe hizo hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…