Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ama tumwiteje kijana wetu mwenye damu ya kimbarali? hizi suggestions hapa;-

Lughano
Lupombe
Lusako
Ludewa
Lusekelo
Lujamvini
Lutengano
Lumumba
Lusajo
Lujumbe
Lubrown
Lumuliko
Lubialwetu
Lucrimea
Luitwege
Si nilishasema tutamuita lile la babu

Btw ,uliona hii picha??.
Nilipost asubuhi
image-edit-20220316195856.jpg
 
hamna bwana pombe kwa kiasi Kama maandiko yanavotaka ule usomi usomi Mara kazi bank wale wahuni wanaochomekea bank wakanizidi swaga Mimi mshamba wa isimani
Na vile unatoaga shit zako kwa mabank teller
Wewe itakuwa ulitupia vyombo ukamwambia aache utamlipa hako kahela kanakomtia jeuri

Umezingua sana..hebu fikiria mara 2.
Hakuna binadamu hana changamoto...na mlishafika mbali hadi mna mtoto.
Kuachana siyo best solution.
 
kurudiana hapana hapana hapana
 
Ama tumwiteje kijana wetu mwenye damu ya kimbarali? hizi suggestions hapa;-

Lughano
Lupombe
Lusako
Ludewa
Lusekelo
Lujamvini
Lutengano
Lumumba
Lusajo
Lujumbe
Lubrown
Lumuliko
Lubialwetu
Lucrimea
Luitwege
Yaani wewe ni chizi
Hayo majina matano ya mwisho

Tunza hayo majina,
Kuna kitu nitakukumbusha hapa siku za usoni.

.........
Mtumishi tulikumiss aisee
Tunaomba uselfike.
 
Yaani wewe ni chizi
Hayo majina matano ya mwisho

Tunza hayo majina,
Kuna kitu nitakukumbusha hapa siku za usoni.

.........
Mtumishi tulikumiss aisee
Tunaomba uselfike.
Siku za usoni tutapokua na kijana wetu Lubialwetu Mwakajumbe?

Niliwa miss pia mama mtumishi.

Selfie hii hapa, walininasa nikiwa nakenua.

Speech ya makamu ilituchekesha sana leo
heheheh.jpg
 
La babu halina maukali ati

Tukae kwenye Lubrown Mwakajumbe

________________

Hiyo "HE" hapo inasimama badala Pepu, si ndio?

Embu ambia watu ukweli umwaibishe shetani

Au lile la baba yake na babu

Hivi bado shetani hajaaibika tu?
 
  • Kicheko
Reactions: Pep
Siku za usoni tutapokua na kijana wetu Lubialwetu Mwakajumbe?

Niliwa miss pia mama mtumishi.

Selfie hii hapa, walininasa nikiwa nakenua.

Speech ya makamu ilituchekesha sana leo
View attachment 2153196

Si unajua baba mimi jobless,
Hawa mbogamboga wakikukamata nitatoa wapi sasa hela za kukutoa??
Au Bia yetu atatusaidia?
 
  • Kicheko
Reactions: Pep
Back
Top Bottom