Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwanini usiende kulala hostel za mission
Miaka kadhaa nyuma

Nilipata deiwaka lushoto

Tukafikia pale kwa masista

Uzuri pale lager zipo tatizo maua hakuna

Ikabidi niingie town hapo, eeh bhana kuna ka lodge kanaitwa white house kana vibe kama lote[emoji41] sijui bado kapo[emoji1787][emoji1787][emoji848]

Itoshe kusema kule sikurudi tena hadi naondoka lushoto
 
Ndugu mwandishi itoshe tu kusema kwanza atatafuna hizo mboga mbichi kwanza kabla ya maongezi yyte kuendelea
Umefika na range pale;
Haya tuambie,utaipaki wapi?
Katikati ya mboga,juu ya mboga au pembeni?
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Najitoaga ufahamu kwenye selfii tu kwenye video sina Huo ujinga uwiiii!! Hata bosiii mwenyewe siwezi mpa video sembuse wapambe Weeeehh!!
Mweee😂😂😂😂😂
Dah boss ledii..
Hadi sisi kweli hautupi??
Mpe basi na boss,ili utuwekee na sisi🥰
 
Wee Mshindwe!! Bosi Ndio video shooter mwenyewe si unaona hata namuonea aibu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]![emoji12][emoji12][emoji12]View attachment 2153118
Chekini lips jamani🥰🥰🥰🥰🥰
Boss ledii una poziiii🔥
Ngoja nichukue darsa hapa🔥🔥🔥

Yaani bos ledi ujue nachukua samare taratibu haya mapozi naenda kuyajaribu Kwa Shem wako🥰👌

Wewe ni mtu na nusu aiseee...mbali na kutuburudisha unatupa darasa pia


Boss ledii juuu✊👌❤️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…