Selfika na JF: Snap it. Show it

Bro, we si unakataaga hauko Dom wewe? Tena unaikandia Dom balaa eti huwezi kukaa mji umejaa vumbi hauna maji na ulishapita tu mara moja. Leo vuu bin vuu uko Dom? Umetoka lini mkoani?

Nayanga bojo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Inawezekana Yuko iringa anajua Mimi nipo maskani iringa kumbe Leo nipo idodomya
 
Dah[emoji2]
Unatupiga chini hivihivi wazee wa Sangu

Fikiria mara 2 boss ledii kile kicheko utakuwa unacheka[emoji23]
🀣🀣🀣🀣 Hakuna kicheko kinachozidi anichekeshacho bosiii wanguu yani anikosha anikonga mpaka kumoyoo!!! hahahaaa piga kelele kwa bosii akeeeeeeeeeeeπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ˜‚πŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œ!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…