Selfika na JF: Snap it. Show it

Na wew dogo acha ujinga kwahyo mtu Kama hua Hali maeneo ya uswahilini Sana haruhusiwi kupost
Kwanza umeeleww nn nachomaanisha? Au ndo umekurupuka? Nliwahi sema hili kabla? Siwezi Kuficha kuna comments kaziweka hapa ktk kujibu au kusimamia anachokiamini, ila hakupaswa kuziweka vile,

Kuhusu hilo la uswahilini au ushuani, ilikua ni mawazo yangu ile siku pindi alipomuuliza yule member, kwan sikuwahi ona km ana tabia za watu wa huko, sasa leo ndo nimegundua ktk baadhi ya comments zake, na hiyo siku aliulizwa ilikua ktk mabishano ya hoja.

Nwei pambaneni nyie mnaoijua dini, sie wengine hata hatuna mda nayo achilia kuijua na kuifata.


Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Ukweli lazima usemwe, unafiki watu wa humu umewajaa.


Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
ndyo ndyooooooooo

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…