Ndyoooo ndyoooooo,Na ukitaka ni kudharau nakudharu kweli.. na ukitaka kukuheshimu nakuhemu nakupa package unayotaka
Ndio shos! wewe ni next level Nakujitoa fahamu kwangu kooteee Zile pigo zako Shkamoo!!
Unafikiri kuna mtu anafurahi kinacho vunja maadili? haya niambie dhambi ya mtu kuvaa kaptula niambie dhambi ya kuvaa kimini.. Issue hatuigi western ila kaa ujiua hao western wana drive mtindo wa maisha yako kwa sehemu kubwa sana.. wazee wetu walikuwa wana vaa magome matako nje mapaja nje huyo wa western wakawaletea nguo.. kwenye nguo kuna selection.. kutoka na style na design ya mtu anayotaka.. msipangiane kwa kigezo cha ku term mavazi katika nguo.. mavazi mjue kwanza yanakaa wapi katika maisha ya imani..Too much usasa nao ni ulimbukeni tu linapokuja suala la maadili kidini, hata kimaadili ya ktz tu ukiweka usasa mwingi wananchi tutakushangaa kidogo.
Umagharibi usitujae vichwani tukaanza kushangaa wengine na mitizamo yao.
Mimi Monday to Friday , frm 0730 to 1700 naspend sana muda na Walokole. Nawajua kwa kiasi, siwezi mshangaa SA anavyoshangaa pombe wala short clothesβ hapa ni zile zilizojuu ya magoti.
Hapa mnashupaza shingo sababu ni mnatype tu, Iβm sure hamuwezi ruhusu watoto wenu wavae sket iko katikati ya mapaja na mkayafurahia.
Keyboard warrior.. I rest my case
Tchao
π€£π€£π€£Dogo nae anachukulia serious Sana watu Wana maisha tofauti humu usifikiri wote wakusoma kisa tunajitoa ufahamu
Dogo nimependa comment yako siku hizi umekua kweli ukirudi mbeya pitia iringa nikupe ulanzi
Usichukulie siriazi haya maandishi.
On serious note;He is a very good person...
Kutofautiana kimitazamo haiondoi sifa yake kwamba ni mtu mzuri sana.
Mtu akikusoma unavyoandika anaweza akatetemeka.Dogo nae anachukulia serious Sana watu Wana maisha tofauti humu usifikiri wote wakusoma kisa tunajitoa ufahamu
Au nasema uongo ndugu yangu
Nyani aoni kundule rudi nyuma kwenye history, angalia kati kati na angalia mbelee.. usikulupuke kujibu usichoe elewa kilipotokea kilipo na kinapo elekea.. bradifakiniππToo much usasa nao ni ulimbukeni tu linapokuja suala la maadili kidini, hata kimaadili ya ktz tu ukiweka usasa mwingi wananchi tutakushangaa kidogo.
Umagharibi usitujae vichwani tukaanza kushangaa wengine na mitizamo yao.
Mimi Monday to Friday , frm 0730 to 1700 naspend sana muda na Walokole. Nawajua kwa kiasi, siwezi mshangaa SA anavyoshangaa pombe wala short clothesβ hapa ni zile zilizojuu ya magoti.
Hapa mnashupaza shingo sababu ni mnatype tu, Iβm sure hamuwezi ruhusu watoto wenu wavae sket iko katikati ya mapaja na mkayafurahia.
Keyboard warrior.. I rest my case
Tchao
Ewaaaa
Emu ngoja nikutoe mchezoniUnafikiri kuna mtu anafurahi kinacho vunja maadili? haya niambie dhambi ya mtu kuvaa kaptula niambie dhambi ya kuvaa kimini.. Issue hatuigi western ila kaa ujiua hao western wana drive mtindo wa maisha yako kwa sehemu kubwa sana.. wazee wetu walikuwa wana vaa magome matako nje mapaja nje huyo wa western wakawaletea nguo.. kwenye nguo kuna selection.. kutoka na style na design ya mtu anayotaka.. msipangiane kwa kigezo cha ku term mavazi katika nguo.. mavazi mjue kwanza yanakaa wapi katika maisha ya imani..
Unataka kunifundisha cha kuandika au nikupe ID uandike unavyotaka πππ.. alafu hii ni chirt chart ukija serious unaumiza kichwaaa ππππ.. hakuna mjadala serious hapa.. kama unashapaza hadi kichwa shauliyako.. mie toka asubuhi nime chili kitandani kaja wa kumpumzikia nime mpumzikia badae natoka hapa yanaishia hapa πππWala sio kwa ubaya hata, kuna baadhi ya comments hazikufaa uziweke vile, sorry km nimekosea.
Relaaaaax bhanaaa, tuendelee kuselfika.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Pole sana π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Nyani aoni kundule rudi nyuma kwenye history, angalia kati kati na angalia mbelee.. usikulupuke kujibu usichoe elewa kilipotokea kilipo na kinapo elekea.. bradifakiniππ
Acha uoga, kama wataka kunijua meet me in person βΊNipe kwanza nilichokuomba bwana
Unataka kuninyima nini?
hakuna simu inayo inagia nime chili mie.. leo nipo jf tu πππ no whatsapp no voiceee...Emu ngoja nikutoe mchezoni
π€£π€£π€£π€£
Incoming call π²
Haya ndio Mambo tunayotaka neema za Allah kwanini uzifiche fiche Kama sio ujambazi Ni ninMie sina muda wa kujadili mavazi ya mtu nawasalimu tu in Selfika's name!
View attachment 2152965
Mkimaliza majadiliano mnistue niendelee kuselfika mieee
Leo operesheni kataa wahunihakuna simu inayo inagia nime chili mie.. leo nipo jf tuno whatsapp no voiceee...
Nimeona tako ndani ya tisheti fupi mamake.Mie sina muda wa kujadili mavazi ya mtu nawasalimu tu in Selfika's name!
View attachment 2152965
Mkimaliza majadiliano mnistue niendelee kuselfika mieeeπΆπ½ββοΈπΆπ½ββοΈπΆπ½ββοΈ
Ujue tangu juzi nasubiri picha yako Eyce.Acha uoga, kama wataka kunijua meet me in person
πππ leo hakuna muhuni anae achwa kupumua.. ni fire to fireLeo operesheni kataa wahuni