walokole gani hao.. mbona walokole wengi wanachapa mini, skin jeans pendo etc.. na wapo on fire kuliko wavaa majuba ππ
Eeeeeeh sasa nan kasema hilo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajistukia tyuuh, kwanza mie na mambo ya dini wapi na wapi? Poleeeni leo mmekutana wote mnaoijua dini vizuri, sie tunawatazamaa tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe watu kuona wanacheka wanafurahi na wewe sio kwamba mpo kundi moja.. dhambi ni dhambi na haki ni haki
Naona bado unahangaika kusema sijui chochote wakati ushindi ushaupataUshindi kama umenipa usi ni quote ndio nitajua imeisha ili tuendelee kutupia selfi matata [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Nijaze nijaze tu yani wee nipambe tuMwee
Tupia hata kidole chako boss ledi
Si unajua tena hakuna picha yako iliyowahi kuwa mbaya[emoji16]haipo!
Bora kwakweli πHapa umenitoa.. nikasake chakula πππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie, khaaaah.Tupo kwenye mavazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hongera mshindi PutinImeisha vita tayari.. hapa namnalizia tu.. nichukue majimbo yote ya Ukraine [emoji2][emoji2][emoji2]
Elewe hivi mkuu Kristo alikuja ulimwenguni ili kuokoa kilichopotea.. kuwapa uzima wasio kua nao.. na nuru kwa walio na giza.. katika U krito kuna maisha mawili kuna maisha mawili.. ukisoma Bible.. unaambia Yesu alipata kibali kwa Mungu na kwa mwadamu.. inawezekana kabisa ukawa na Kibali kwa Mungu ila ukakataliwa na wanadamu na inawezeakana ukwa na kibali kwa wanadamu na ukakataliwa na Mungu ni vyema ika balance pote.. Okay.. character inatupa picha kamili ya wewe ni nani.. character ina picha mbili.. na inajengwa na vitu viwili.. sina mood ya kumwaga nondo.. acha nimalizena kwanza na mtu hapa ππππ alafu nirudi nidadavuw point to pointUtamaduni wa Msukuma ni polygamy. Je wasukuma walipaswa kuhubiriwa ukristo na kuendelea na utamaduni wao?
Kipi ni sahihi?
ππππ.. yes[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hongera mshindi Putin
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] adhabu ipi hiyo? Si ndo ueleze nawee lol. Mie nataka kufahamu sasa, khaaaahMashoga dhabu yao ipo clear kwenye maandiko hiyo huitaji nguvu kubwa kuelewa.. But Kuna neema na huruma za Mungu.. sio kila shoga ni shoga.. wengine ni mashoga kwasababu wapo under influence ya devil himself.. Mashoga wengi wanaacha na kuwa watu wazuri kwa Mungu na kumtumikia Mungu..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo ulipomaliziiiaaa nusu niangushe cm, sio kwa kucheka hivi lol, watu wa dini leo mnalo hili. WeuweeeeeeeeeehUkishafahamu unataka kufanyaje? Mungu mwenyewe kwa majira yake ikimpendeza atakupa ufahamu.. na isipo mpendeza kimbembe kina kuhusu.. [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Tupia boss ledi wetuNijaze nijaze tu yani wee nipambe tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakufa kwaa kucheka lol.kadogoo Saint Anne nakaambia nimekula shule for 10 years kana ibeza.. hiyo shule ndio imenipa kufahamu nyeusi na nyeupe.. walokole wengi wavivu kujisomea na wavivu hata kwenye maisha wao ni wazee wa fire fireee wakifikiri mambo huja automatic [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..
Kuvaa vaa manguo marefu kwanza ikatazwe Kama nchi watu ndio wanaficha mapanga humo [emoji3]Walokole
Waliokoka kwa 100%
Wanayoyaishi maisha ya utakatifu at least kwa 85%
Nguo fupi kwao ni dhambi/ haijakaa sawa kimaadili.
Leo tuko buzzy na mahubiri shouzzzzzzzz, kaka kwa kutulia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nijaze nijaze tu yani wee nipambe tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41].. yes
Naona unatiririka hoja zako chief mkwawaKuvaa vaa manguo marefu kwanza ikatazwe Kama nchi watu ndio wanaficha mapanga humo [emoji3]
Acha nikale sasa baada ya kupiga ma hiroshima hadi mtu kapotea πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona unatiririka hoja zako chief mkwawa
I wish watu wangekusikia sasa unavyozidadavua..wangecheka wazimie ulivyo comedian.
Halafu ukimaliziaga na ile sentensi kwamba yaani hiyo siku ya mwisho hesabu zitapigwa kwelikweli.,itakuwa patashika.