Selfika na JF: Snap it. Show it

Wala sihitaji uniprovie vitu ambavyo ni dhambi

Wewe kama unavaa na unaona ni sawa basi vaa tu ila ukweli upo wazi.
 
Wala sihitaji uniprovie vitu ambavyo ni dhambi

Wewe kama unavaa na unaona ni sawa basi vaa tu ila ukweli upo wazi.
Sio dhambi, na usitake kusema dhambi kuwatia hofu watu.. iliyo dhambi acha isemwe dhambi na isiyo dhambi tutasema sio dhambi.. utabaki mahusiano binafsi ya Roho wa Mungu na mtu katika kumuongoza acha hiki na fanya hiki kutokana na kusudi la Mungu kwa huyo mtu.. maana ya dhambi yenyewe huenda hujui πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Hiyo niliiona

Na ulipendeza hatari

Ulitisha sana [emoji1787][emoji1787]
Wee nae umekuja mbio mno, sasa ole wako ufanye mafekeche waone wengine, ntakata nyanya 2 hizo zinazobembea chini ya kiuno. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Mambo ya kuvaa Kama mashahidi wa yehova Mimi siyafagilii kabisa
Mtoto lazima ang'ae harufu classic.. ngozi peruuuu... nywelee zingaee... hata ukimtazama mwenyewe unasema hapa nilichagua.. sio unakaa na mtu unaanza jitilia mshakaaa kavaa kama anaenda kuagua majini πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Me mwenyewe hapa nilipo nimevaa sketi ndefuu..
Nguva sie tuna mambo [emoji23]
Hii nusura nianguke kwenye ngazi leo maana inagusa chini balaa [emoji28]
Hatari sana aisee japo unapendeza ukivaaa ndefu .
 
Aiseee
Basi tufanye umeshinda wewe unayejua kila kitu,mtaalamu wa mambo yote ya kimungu hapa duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…